Msemaji wa Yanga afungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu kwa miaka 3

Sio lazima kulipa kwa wakati kama alivyofanya Haji, Bumbuli hakuridhika na maamuzi akaiandikia tff barua ili apewe maelezo na utaratibu wa rufaa kwa mujibu wa Yanga mpaka leo barua haikujibiwa. Kama wamemuonea sawa kama wamefata taratibu sawa.
 
Hiki ni kielelezo cha IQ yako by far anfmd large.
 
Atakula jeuri yake
 
Mimi shabiki wa Simba..
But unamfungiaje mtu miaka mitatu?
Aache kazi au aachishwe?

Wangempa faini ambayo angeweza lipa


!
!
Hata mimi ni simba damu ila hizi adhabu ni za kukomoana. Huwezi kupanga adhabu kubwa hivyo. Wajiulize hao wanakamati kama wao binafsi wangeweza kulipa hizo gharama? halafu kutojihusisha na mpira wa miguu maana yake nini! kwamba hata asicheze mpira na watoto wake nyumbani kwake au? wapumbavu sana Tanzania Football Failures
 
Tifutifu wana agenda yao dhidi ya Yanga kweupe.
 
Nao Tff waangalie sana hili suala la faini inawezekana hiyo posho ya vikao we mtu unampiga faini milioni tano wewe unazo hizo hivi kwa uzembe wanaofanya Tff kiasi gani wao wangepigwa kule kukalia rufaa za vilabu kwa muda mrefu nani awapige faini? Fikiria sana jambo na faini mnazotoa kwa vilabu au mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…