Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Sio lazima kulipa kwa wakati kama alivyofanya Haji, Bumbuli hakuridhika na maamuzi akaiandikia tff barua ili apewe maelezo na utaratibu wa rufaa kwa mujibu wa Yanga mpaka leo barua haikujibiwa. Kama wamemuonea sawa kama wamefata taratibu sawa.Wewe unaamini vipi Kama kweli yanga walimpa pesa?
Tatizo lake hakulipa pesa wala kukata rufaa ya uamuzi wa tff. Na adhabu wametoa kulingana na sheria, mbona sisi haji kesho yake tu alienda kulipa. Yanga hamkumlipia mapema kwa sababu mlikuwa mnatafuta sababu ya kumuacha mbaki na nugaz tu
Let's wait, na tuone bumbuli ata react vipi na hicho ndicho kitafunua ukweli