Msemaji wa Yanga atumie akili anapofanya propaganda za Soka

Msemaji wa Yanga atumie akili anapofanya propaganda za Soka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20201115_191537123963.jpg

Tunafahamu Dismas Ten ni moja wa maofisa ndani ya klabu ya Yanga. Kimsingi anaitambua mipaka yake nje na ndani ya ofisi
:
Yanga SC ni mshindani wa Simba SC kimasoko. Kila mmoja ana wajibu wa kuheshimu hatimiliki za mwenzake.
:
Kuna video imepostiwa na Ten ambayo haipo sawa kibiashara
:
➡️ Haki za Matangazo: Ten ametumia picha za Chama, akitangaza jarida la Yanga.
:
Nani amemruhusu kufanya Tangazo na mchezaji wa kampuni shindani?
:
➡️ Haki za Picha: Ten ametumia sura ya Chama, mchezaji halali wa Simba akiwa na jezi za Yanga bila ridhaa ya klabu husika
:
Je, Ten ni mwandishi wa habari? Je, kuna fair use?
:
Kimsingi hakuna fair use kwa sababu kuna commercial promo?
:
Simba wakiamua kumchukulia hatua Ten atakuwa na kesi ya kujibu. Ikumbukwe Ten ni ofisa wa Yanga na ametekeleza kosa hili akiwa kwenye shughuli zake za kila siku ndani ya klabu.
:
Je Yanga wamemchukulia hatua?
:
Kuhariri picha ya mchezaji sio kosa kama una lengo la
:
➡️ Kuhabarisha
➡️ Kutania (Fair Comment)
➡️ Matumizi yasiyo ya kibiashara (Fair use)
:
Simba wana haki ya kumshtaki kwa ajili ya "nominal damages", kwa sababu hili limezua mshtuko kwa washikadau na mashabiki wa klabu ya Simba SC.
:
Simba wana haki ya Compensatory Damages kwa Yanga SC kupitia mauzo ya hilo jarida ambalo Chama ametokea kwenye promo yake labda kama Yanga SC itamkana Ten na kumwadhibu.
 
Mwakalebela kesi yake sijui iliishia wapi maana alipopelekwa TFF alianza kulialia na kuomba radhi. Simba wamchukulie hatua kwani wametuzoea sana kwanini wamtumie mchezaji wa simba wakati wana wachezaji wao
 
Yanga ni uneducated and arrogant wanafanya vitu kihunihuni tu kesho na kesho kutwa wakipelekwa kwenye sheria wanaanza kulialia.
We unashindwa kumlipa Yondani na Juma Abdul utaweza kumlipa SUPER MVP Maestro Clatous Chota Chama Tripple C Mwamba wa Lusaka mzee wa Locomotive faints?
 
Ungeanza kwa kutueleza kama mkataba wa Chama na Simba unajumuisha haki miliki za picha matangazo.
 
Yanga ni uneducated and arrogant wanafanya vitu kihunihuni tu kesho na kesho kutwa wakipelekwa kwenye sheria wanaanza kulialia.
We unashindwa kumlipa Yondani na Juma Abdul utaweza kumlipa SUPER MVP Maestro Clatous Chota Chama Tripple C Mwamba wa Lusaka mzee wa Locomotive faints?
Mwenyekiti wa Yanga ni Dr, huwezi linganisha na kiongozi yoyote wa Mikia
 
Nyie si mmehamishia mpira kituoni kwa MAMBOSASA .Nendeni sasa🤣🤣🤣
 
Yanga ni uneducated and arrogant wanafanya vitu kihunihuni tu kesho na kesho kutwa wakipelekwa kwenye sheria wanaanza kulialia.
We unashindwa kumlipa Yondani na Juma Abdul utaweza kumlipa SUPER MVP Maestro Clatous Chota Chama Tripple C Mwamba wa Lusaka mzee wa Locomotive faints?
Una matatizo we dogo.
 
Mwenyekiti wa Yanga ni Dr, huwezi linganisha na kiongozi yoyote wa Mikia
Ndo tunapokwama hapo wabongo, kwa akili yako ndogo unahisi mtu akishakuwa Dr anapoteza nature yake( uswahili, ukarimu, wizi, uzinzi n.k)?
Sasa kama u Dr wake umeshindwa kuisaidia utopolo kuacha mambo ya kiswahili swahili si ni sawa na hakuna.
 
Back
Top Bottom