GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu.
Haya jana Jezi zenu Maalum za Unbeaten Record ya Mechi 50 bila Kufungwa mlizichoma Moto kwa Aibu na zingine Kugawa kwa wana Yanga SC wazipigie Deki Sebuleni na Vyooni mwao je, hizi Keki Kubwa 50 mlizoziandaa mmezipeleka wapi kwani wana Yanga SC wenye Majonzi Mbarali, Mbeya Mjini na hasa hapa Dar es Salaam wanazitaka ili wazinywee Chai pamoja na Mihogo yenu mliyoizoea Kula kama Nguruwe Pori.
Asanteni Ihefu FC kwa Kumbikiri Mtu.