Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta.

MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?.

Hebu shea nami basi Comrade Oky?
 
Kama mwanaume tu ni mbea kiasi kiasi, ungeumbwa mwanamke sijui ingekuaje maana ungekuwa mgombanishi wa ndoa za watu kinoma noma. Unajiona una sifa ya ujuaji kumbe hujui kuwa unajipakazia sifa ya umbea
 
Miaka Miwili tu na 20 Milion Tshs Fine.
 
Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta.

MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?.

Hebu shea nami basi Comrade Oky?
Hiyo adhabu manara atainavigate
 
Inaonesha ukiteseka sana na uwepo wa Bugatti pale Yanga... Kolo ni kolo tu
 
Attachments

  • Screenshot_20220721-112943_1.jpg
    Screenshot_20220721-112943_1.jpg
    60.1 KB · Views: 8
Kama mwanaume tu ni mbea kiasi kiasi, ungeumbwa mwanamke sijui ingekuaje maana ungekuwa mgombanishi wa ndoa za watu kinoma noma. Unajiona una sifa ya ujuaji kumbe hujui kuwa unajipakazia sifa ya umbea
Angekuwa mwanamke au Ni mwanamke so far. Unafikiri Kuna mwanaume anawezakuwa na ta bia km huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom