Msemaji wa Yanga ya Mkoani njoo uthibitishe nyinyi ni Yanga B

Hoja yako ni dhaifu! Kwa hiyo na nyinyi mlipowafunga, walikuwa ni simba B!! Na Azam nao walipowafunga, walikuwa ni Azam B!!

Au unataka kusema timu zote zilizofungwa na Yanga msimu huu, ukiondoa Ihefu ni Yanga B?
 
Acha kujaza servers za jf bure rudi kule kwenye uzi wako wa uhasibu kule.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…