Msemaji wa Yanga ya Mkoani njoo uthibitishe nyinyi ni Yanga B

Msemaji wa Yanga ya Mkoani njoo uthibitishe nyinyi ni Yanga B

View attachment 2795575
Msemaji wa Singida BS Hussein Massanza tulipokutana Singida nilikwambia uache kuwasumbua watu kwamba mtaifunga Yanga. Nilikuuliza mtashindaje ikiwa mnacheza kwa maelekezo? Mzee wa Jambia kaiweka vizuri, ni bora muwe mnaenda tu TFF kusaini matokeo mnayokubaliana badala ya kuleta mashabiki kutazama maigizo

Sasa mpira tumeuona, njoo hapa uthibitishe maneno yangu kuwa nyinyi ni Yanga ya Mkoani. Katika kuthibitisha hilo waambie watu kiwango mlichoonyesha mechi ya Simba na hii ya dada zenu.
Hoja yako ni dhaifu! Kwa hiyo na nyinyi mlipowafunga, walikuwa ni simba B!! Na Azam nao walipowafunga, walikuwa ni Azam B!!

Au unataka kusema timu zote zilizofungwa na Yanga msimu huu, ukiondoa Ihefu ni Yanga B?
 
MATOKEO YA SINGIDA FG MSIMU HUU... NBC PREMIER LEAGUE

1. Singida 0 Tanzania prisons 0
2. Singida 0 Tabora Utd 0
3. Azam 2 Singida 1
4. Mtibwa 0 Singida 1
5. Singida 1 Simba 2
6. Namungo 2 Singida 3
7. Yanga 2 Singida 0


Kabla ya kucheza na Yanga, Singida alikua amecheza game sita.... Kwenye hizo game sita kachezea vichapo viwili toka Kwa Azam na Kolo.. huku akidroo tena uwanja wa nyumbani game mbili na timu vibonde.... Sasa angewazaje kumfunga Yanga???

Rage apewe TUZO [emoji16]
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom