Mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au lah!

Mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au lah!

Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri uboraView attachment 2822867
Ngoja nikuweke kiporo hapa kwa matumizi ya baadaye, bahati nzuri tuna mtakwimu wetu humu wa kufukuwa makaburi.
 
Back
Top Bottom