Katika kitu ninachosubiri,ni kutoka hapa,niweze kujiridhisha kuwa,hii timu kweli ni bora,au ilitufunga kwa kutumia makando kando na ulozi,maana hapa hakuna kupitia milango ya nyuma,hapa huingii na ulozi,hii ni timu yenye ubora,ikipigwa na hii,au ikitoa sare,basi nitakiri ubora
View attachment 2822867