Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #21
Labda niulize sehemu nyingine nchini hali ikoje kuhusu maji na umeme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo wa pwani, Waswahili ni geresha tu .Mawaziri wa pwani? Waswahili?..ina maana matatizo ya umeme yanamhusu alie ingia mwezi mmoja Tu?? Aliekaa miaka hapo hahusiki??..
Wakiwa waswahili lakini hawatoki pwani je?
Watafaa??
Au wa pwani lakini sio waswahili?
View attachment 2013292
Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa lako.
Watu wanaililia serikali umeme na maji..watawala nao wanalia...tumeshindwaje kuvuna umeme wa jua, upepo, au mawimbi? Teknolojia ya renewable energy iko mbali sana na inayowezekana. Mji mpya wa serikali Dodoma ungeweka lengo la kutumia nishati mbadala (RE) kuliko kusubiri mabwawa yajae.
Tunaweza vipi kutengeneza mabwawa ya akiba ya maji ya mvua na mito na kuyafungulia kina cha mabwawa ya umeme kikianza kushuka? Je, tunaweza kuweka Sera katika kodi kwa makampuni na watu binafsi kutumia umeme wa jua au RE nyingine kama sehemu ya energy mixture yao? Kwa kadiri wanaongeza matumizi ya RE wanapata afueni mbalimbali za kodi, mitaji, na?
Swali fyatu kwa kwelini hili...hivi kweli Tanzania Kuna tatizo la ukosefu wa maji na nishati?
Au tumekuwa ni mpumbavu anayelalamikia kiu akiangalia ndoo ya maji safi na salama? Akiiomba serikali imtengenezee kata ya kunywea maji.
MM (Mwanakijiji Podcast Returning Soon)
That is all about.Hakuna tatizo la maji, nionavyo tabia na matendo za walioshika hatamu ndio kikwazo namba moja tulichoncho, waziri akishakuwa na sifa ya upigaji halafu akaja kupewa madaraka unategemea nini?
Waziri huyo huyo akaja kukurupuka anatuambia hakuna winchi ya kubeba tani 26 wakati ukweli zipo mpaka za kubeba tani 75 huyu mtu utamuamini vipi? umeme unakatika hovyo tatizo hatuambiwi.
Hii yote ni mipango ya kijanja ya kuchelewesha/kuukwamisha na hatimaye kuumaliza kabisa huo mradi wa bwawa la Nyerere licha ya pesa nyingi iliyotumika mpaka sasa.
Makamba either kwa kushirikiana na Samia, au yeye binafsi, ana mipango yake ya zile "ndoto zake" na anajua fika ili kuzikamilisha hizo ndoto lazima atengeneze pesa za kutosha kuwahonga wajumbe wa chama chake ili wampitishe.
Na njia nzuri zaidi ya kuzipata hizo pesa kwake ni kushadadia mradi wa LNG, hapa ndio anajua atapiga vizuri kuanzia hatua za awali, na nionavyo bila hii mipango ya LNG kufa, sioni ni kwa namna gani kama taifa litaweza kuendesha miradi miwili mikubwa yenye gharama kubwa kwa wakati mmoja, huu ni wizi wa makusudi wanatufanyia hawa viumbe wasio na aibu.
MKUU, NAONA HATA MACHOZI YAKITOKA , NIMESHINDWA KUKUJIBU , ILA NITAKUJA BAADAEView attachment 2013292
Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa lako.
Watu wanaililia serikali umeme na maji..watawala nao wanalia...tumeshindwaje kuvuna umeme wa jua, upepo, au mawimbi? Teknolojia ya renewable energy iko mbali sana na inayowezekana. Mji mpya wa serikali Dodoma ungeweka lengo la kutumia nishati mbadala (RE) kuliko kusubiri mabwawa yajae.
Tunaweza vipi kutengeneza mabwawa ya akiba ya maji ya mvua na mito na kuyafungulia kina cha mabwawa ya umeme kikianza kushuka? Je, tunaweza kuweka Sera katika kodi kwa makampuni na watu binafsi kutumia umeme wa jua au RE nyingine kama sehemu ya energy mixture yao? Kwa kadiri wanaongeza matumizi ya RE wanapata afueni mbalimbali za kodi, mitaji, na?
Swali fyatu kwa kwelini hili...hivi kweli Tanzania Kuna tatizo la ukosefu wa maji na nishati?
Au tumekuwa ni mpumbavu anayelalamikia kiu akiangalia ndoo ya maji safi na salama? Akiiomba serikali imtengenezee kata ya kunywea maji.
MM (Mwanakijiji Podcast Returning Soon)
Hawa jamaa akili zao zinafanana halafu wanadhani watanzania ni wajinga, halafu wakiambiwa nchi inaongozwa kutoka Msoga wanakuwa wakali.Nakumbuka kabla ya awamu ya 5 aya matatizo yalikua kwa kiasi kikubwa na walitumia upenyo huo kutupiga sawasawa, na ilikua ni uhujumu
Mfano Kidatu walikua wakifungulia maji maksudi ili kuonekane amna maji....
Lakin baada ya kuingia Magu yalikoma kabisa, ametangulia kidogo yamerudi kama awali kwa sababu zisizo na mashiko..... Tunaamin ni yale yale tu kutengeneza tatizo watupige ndo maana ata walimtoa Kalemani na wadau wote ili waaanze vitu vyao.....! Otherwise watuambie shida ya Kalemani ni nini, na uyu msambaa anafanya nini?
Inaudhi sana
MKUU, SWALA NI KUKOSA VIONGOZI WENYE UTASHI WA KWELI KABISA KUTUPELEKA MBELE, WALITOKEA WAKATI ULE HADI LEO HAJATOKEA HATA MMOJA WAPO. WA KWANZA ALIKUWA NAMBA MBILI TOKA JKN ALISHIRIKIANA NA WAZIRI WA KILIMO WAKATI ULE BWANA MACHUNDA, IKAZALIWA THE BIG FIVE, RETCOS KWA HISANI YA JAICA ZIKAINGIA , FITINA IKAPIGA HODI, UWAZIRI UKAISHA HAKUKUMBUKWA TENA, ALIYEBAKI MUNGU AKAMPENDA ZAIDI. JUZI TU MIAKA MINNE ILIYOPITA, MCHINA ALIKUJA AKITOKEA ETHIOPIA , AKAKAGUA HADI PANAPOTELEMSHIWA MIZIGO ILI AKILETA VIFAA VISIKWAME, AKAENDA SINGLE DAR KUKAGUA SITE, AKARUDI , AKAENDA KWAO KWA AHADI KUWA ATANIPA MUDA WA KUANZA MAANDALIZI YA KUPOKEA VIFAA. WIKI ZIKAISHA TAARIFA ILIYOKUJA NI KWAMBA , PROJECT CANCELLED. BAADAYE IKAJULIKANA KUWA WANAGOMEA MMILIKI WA PROJECT HAPA KWETU, BIG BOSS AKAONA ISIWE TAABU , BABIANI KOSA SISI KOSA. UTASHI HAKUNAView attachment 2013292
Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa lako.
Watu wanaililia serikali umeme na maji..watawala nao wanalia...tumeshindwaje kuvuna umeme wa jua, upepo, au mawimbi? Teknolojia ya renewable energy iko mbali sana na inayowezekana. Mji mpya wa serikali Dodoma ungeweka lengo la kutumia nishati mbadala (RE) kuliko kusubiri mabwawa yajae.
Tunaweza vipi kutengeneza mabwawa ya akiba ya maji ya mvua na mito na kuyafungulia kina cha mabwawa ya umeme kikianza kushuka? Je, tunaweza kuweka Sera katika kodi kwa makampuni na watu binafsi kutumia umeme wa jua au RE nyingine kama sehemu ya energy mixture yao? Kwa kadiri wanaongeza matumizi ya RE wanapata afueni mbalimbali za kodi, mitaji, na?
Swali fyatu kwa kwelini hili...hivi kweli Tanzania Kuna tatizo la ukosefu wa maji na nishati?
Au tumekuwa ni mpumbavu anayelalamikia kiu akiangalia ndoo ya maji safi na salama? Akiiomba serikali imtengenezee kata ya kunywea maji.
MM (Mwanakijiji Podcast Returning Soon)
Acha ku overthink tuna Rais Kilaza na MVIVU, simple.View attachment 2013292