Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

Labda niulize sehemu nyingine nchini hali ikoje kuhusu maji na umeme?
 
Mawaziri wa pwani? Waswahili?..ina maana matatizo ya umeme yanamhusu alie ingia mwezi mmoja Tu?? Aliekaa miaka hapo hahusiki??..

Wakiwa waswahili lakini hawatoki pwani je?
Watafaa??

Au wa pwani lakini sio waswahili?
Hiyo wa pwani, Waswahili ni geresha tu .

Mla kiti Moto kuna aliowalenga hapo na chuki zake hizo zitakazo muua akiwa kinywa wazi na macho kama bulb.
 
Hakuna tatizo la maji, nionavyo tabia na matendo za walioshika hatamu ndio kikwazo namba moja tulichoncho, waziri akishakuwa na sifa ya upigaji halafu akaja kupewa madaraka unategemea nini?

Waziri huyo huyo akaja kukurupuka anatuambia hakuna winchi ya kubeba tani 26 wakati ukweli zipo mpaka za kubeba tani 75 huyu mtu utamuamini vipi? umeme unakatika hovyo tatizo hatuambiwi.

Hii yote ni mipango ya kijanja ya kuchelewesha/kuukwamisha na hatimaye kuumaliza kabisa huo mradi wa bwawa la Nyerere licha ya pesa nyingi iliyotumika mpaka sasa.

Makamba either kwa kushirikiana na Samia, au yeye binafsi, ana mipango yake ya zile "ndoto zake" na anajua fika ili kuzikamilisha hizo ndoto lazima atengeneze pesa za kutosha kuwahonga wajumbe wa chama chake ili wampitishe.

Napata mashaka pia na nia ya Rais kwa hili taifa, kwaninj kuanzisha mradi wa LNG wenye gharama kubwa $30 mil. muda huu ambao ujenzi wa Nyerere Dam unaendelea, hizo gharama za LNG kwanini zisielekezwe kumalizia ujenzi wa bwawa la Nyerere ambao kwanza? hana washauri wa kumwambia hili? au nae ndie anaamua kuweka "legacy" yake kwa kuwaumiza watanzania?

Sioni ni kwa namna gani kama taifa litaweza kusimamia miradi hii miwili mikubwa na yote ikakamilika, nachokiona kwa sasa kuna juhudi za lazima kuuzima mradi wa Bwawa la Nyerere ili LNG ishike hatamu, na safari za viongozi kutembelea huo mradi wa bwawa la Nyerere ni usanii mtupu, wanajua wazi akili zao sasa hivi wanawaza kitu kingine (LNG).
 
 
That is all about.
 
MKUU, NAONA HATA MACHOZI YAKITOKA , NIMESHINDWA KUKUJIBU , ILA NITAKUJA BAADAE
 
Nakumbuka kabla ya awamu ya 5 aya matatizo yalikua kwa kiasi kikubwa na walitumia upenyo huo kutupiga sawasawa, na ilikua ni uhujumu
Mfano Kidatu walikua wakifungulia maji maksudi ili kuonekane amna maji....

Lakin baada ya kuingia Magu yalikoma kabisa, ametangulia kidogo yamerudi kama awali kwa sababu zisizo na mashiko..... Tunaamin ni yale yale tu kutengeneza tatizo watupige ndo maana ata walimtoa Kalemani na wadau wote ili waaanze vitu vyao.....! Otherwise watuambie shida ya Kalemani ni nini, na uyu msambaa anafanya nini?

Inaudhi sana
 
Hawa jamaa akili zao zinafanana halafu wanadhani watanzania ni wajinga, halafu wakiambiwa nchi inaongozwa kutoka Msoga wanakuwa wakali.
 
MKUU, SWALA NI KUKOSA VIONGOZI WENYE UTASHI WA KWELI KABISA KUTUPELEKA MBELE, WALITOKEA WAKATI ULE HADI LEO HAJATOKEA HATA MMOJA WAPO. WA KWANZA ALIKUWA NAMBA MBILI TOKA JKN ALISHIRIKIANA NA WAZIRI WA KILIMO WAKATI ULE BWANA MACHUNDA, IKAZALIWA THE BIG FIVE, RETCOS KWA HISANI YA JAICA ZIKAINGIA , FITINA IKAPIGA HODI, UWAZIRI UKAISHA HAKUKUMBUKWA TENA, ALIYEBAKI MUNGU AKAMPENDA ZAIDI. JUZI TU MIAKA MINNE ILIYOPITA, MCHINA ALIKUJA AKITOKEA ETHIOPIA , AKAKAGUA HADI PANAPOTELEMSHIWA MIZIGO ILI AKILETA VIFAA VISIKWAME, AKAENDA SINGLE DAR KUKAGUA SITE, AKARUDI , AKAENDA KWAO KWA AHADI KUWA ATANIPA MUDA WA KUANZA MAANDALIZI YA KUPOKEA VIFAA. WIKI ZIKAISHA TAARIFA ILIYOKUJA NI KWAMBA , PROJECT CANCELLED. BAADAYE IKAJULIKANA KUWA WANAGOMEA MMILIKI WA PROJECT HAPA KWETU, BIG BOSS AKAONA ISIWE TAABU , BABIANI KOSA SISI KOSA. UTASHI HAKUNA
 
Acha ku overthink tuna Rais Kilaza na MVIVU, simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…