Msemo wa 'afutatu' unaovuma mitandaoni chanzo chake ni kipi?

Kuna original video ya hiyo voice iko TikTok kuna mzee kaka chini kwenye bench hospital analalamika anasema eti sasa hivi hospital hawataki hata aftatu huku akijishika kichwa na mikono miwili kuchanganyikiwa hivi na utaratibu wa hapo hospital
 
Haya mambumbumbu ya mtandaoni hayawezi kukuelewa.

Kutwa kushabikia mipira na matakataka.

Wataendelea kupigwa sana. CCM itabaki miaka buku.
 
Unataka ujue upuuzi,
Kuna nyingne sijui inasema
"Kwa waliosoma cuba wataelewa" juzi nilishangaa mpka msibani mtu mzima akaitumia,
Hii ya cuba alianzishaga mtangazaji wa clouds leo tena Jose Mara sasa hadi watangazaji wa redio zingine nao wameiga

Nilichogundua redio inasikilizwa na kila mtu hata wafanyakaz wa redio zingine hawasikiliz redio zao
 
Kweli kabisa,Usikute Hata manara kukacha Simba Ni mipango ya watu.
 
Hii kazi huenda ina malipo makubwa sana maana watu wake wanafanya kazi ipasavyo.

La kukuzwa linakuzwa la kudogodishwa linakua dogo na wala halisikiki.
 
Ukute ndio wameleta ajali ya ndege.
 
Basi labda zipo nyingi Ila me najua hii ni Mbunge wa geita mjini Musukuma alisema akiwa bungeni
-unakuta mtu unamuheshim vzuri kumbe mfukon hana ata afutatu
Ndo ilianzia hapo
 
Tangu ni unfollow page za upuuzi upuuzi naona Kuna upuuzi mwingi sana unanipita hata mimi hili suala la aftatu nimeliona lina trend sana lakin naendelea kuona ni kama upuuzi flan tu wa Sisi wa Tz kuwa serious na mambo ya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…