Watu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani?
Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
F tano na D mbili... ufaulu wa mwisho kidato cha NneWatu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani?
Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
Asante sana kwa ufafanuzi Mkuu sikuwa najuaD mbili ni vyuo vya VETA na sio vya kati mkuu
Vya kati ni vile vya certificate na diploma ambavyo ni D nne
sawa ila ni ufundi yaani vinatoa level za NVA level 1 to 3Kuna VI college naskia uwe na nia tuh na ada ulipe kwa awamu
Umetisha SanaUkifeli shule ukitaka kusomeshwa swali la kwanza unaulizwa katika masomo yote uliofeli una "D MBILI" ili atleast tukuendeleze kielimu mana kila Profession inataka uwe na D mbili!
Kwahiyo imekua famous kwa style hio!
Kwamba Kama Huna D Mbili huwezi kuelewa jambo manake wewe ni mbumbumbu kabisa!
Siyo D 3 tena siku hizi?D mbili ni minimum pass marks. Wanamaanisha kama kidato cha nne huna D mbili basi una uwezo mdogo wa kiakili hivo hakuna jambo utaelewa
Hii imetokana na matangazo ya vyuo vya kati kutaka D mbili kwa masomo yasiyo ya Dini ili kupata admission
ukikosa D mbili una ziro kwenye matokeo ya kidato cha nne, na ukiwa na ziro unakosa sifa za kupata chetiWatu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani?
Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
siku hizi ni D 4 sio D mbili tenaSiyo D 3 tena siku hizi?
Watu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani?
Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
Mwanzishaji wa hii ni Leornard na alipata D mbili Form 6..!!!D mbili ni minimum pass marks. Wanamaanisha kama kidato cha nne huna D mbili basi una uwezo mdogo wa kiakili hivo hakuna jambo utaelewa
Hii imetokana na matangazo ya vyuo vya kati kutaka D mbili kwa masomo yasiyo ya Dini ili kupata admission
Minimum point za kuingia Chuo Kikuu ilikuwa lazima uwe na atleast Point 5 kwa masomo matatu.Mwanzishaji wa hii ni Leornard na alipata D mbili Form 6..!!!
Sasa hayo maelezo yako yaelezee ki Form 6.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
yeye alisema alipata D 2 Form 6Minimum point za kuingia Chuo Kikuu ilikuwa lazima uwe na atleast Point 5 kwa masomo matatu.
A -Point 5
B-Point 4
C-Point 3
D-Point 2
E-Point 1
S-0.5 Point.
F - 0 No Point.
Kwahiyo Kiform 6 D mbili means ni point 4 Ukijulisha E moja una qualify kupata chuo kwasababu utakuwa na Point 5( D mbili na E moja).