ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake.
Kwa upande wangu naona angeweza kutafuta kauli nyingine yenye nguvu lakini yenye hadhi zaidi. Pia hata kwenye muziki wake mara nyingi anapenda kujisifia mafanikio kwamba ame make mamilioni, kitu ambacho wakati mwingine kinafanya aonekane kama limbukeni fulani. Na kusema mtu ni limbukeni haimaanishi hana akili au uwezo, bali ana ule ushamba wa kushangilia vitu ambavyo wengine hawaoni vya kujivunia sana.
Inawezekana kuna watu wanafurahia hiyo style yake ya kuongea, lakini ukweli ni kwamba pia kuna wengi ambao hawalipendi hilo neno lake ni hayo tu kwa leo matako yenu.