ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
hata chid benz sometimes anahojiwa anawajibu shit waandishi watu huwa wanafurahia ila me namuonaga bonge la mshambaNi type ya watu waropokaji na kuwabadilisha ni vigumu kila mara huwa wanaona wapo sahihi
hiphop kwani anafanya yeye peke yake hajifunzi kwa wasanii karibia wote wa hiphop hata wakiwa interview wamenyoka ...yeye chid benz na TID naonaga malimbukeni sanaLabda HIP HOP inachangia.
unaona jinsi dotto magari anavyo trend vzr alipaswa kuwa anatukana lakini cheki alivyo makini sana anaongea maneno ya kukera lakini hatoi tusiBinafsi sigurahishwi na mtu mwenye pesa zake kutukana japo Kwa utani
Uoni jinsi alivyo nayo manene kweliMheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake.
Kwa upande wangu naona angeweza kutafuta kauli nyingine yenye nguvu lakini yenye hadhi zaidi. Pia hata kwenye muziki wake mara nyingi anapenda kujisifia mafanikio kwamba ame make mamilioni, kitu ambacho wakati mwingine kinafanya aonekane kama limbukeni fulani. Na kusema mtu ni limbukeni haimaanishi hana akili au uwezo, bali ana ule ushamba wa kushangilia vitu ambavyo wengine hawaoni vya kujivunia sana.
Inawezekana kuna watu wanafurahia hiyo style yake ya kuongea, lakini ukweli ni kwamba pia kuna wengi ambao hawalipendi hilo neno lake ni hayo tu kwa leo matako yenu.
Hata wewe matako Yako punguza ujuaji kwenye maisha ya watuNi type ya watu waropokaji na kuwabadilisha ni vigumu kila mara huwa wanaona wapo sahihi
Mbona ni wale wale? Anavyodhihaki wasomi akiumwa nani atamtibia? Benki haendi? Hayo magari anayouza nani anatengeneza? Tunategemeana dhihaki sio kitu kizuri.unaona jinsi dotto magari anavyo trend vzr alipaswa kuwa anatukana lakini cheki alivyo makini sana anaongea maneno ya kukera lakini hatoi tusi
Mshamba tu na mpenda sifa,pale mwenyewe anajiona muhuni! Post zake zote akiweka TBT ni masifa tu ashukuru ubunge ulimpa hela za mikopo bila hivyo angekuwa km kina Juma Nature kwa sasaMheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake.