Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mshauri na dada yako Bi ushungu basi aweke nyundo Kama ya M7🙄Heko Museveni.
Wengi tupo na wewe 100%
Ambaye hayuko na wewe ni shoga lililokubuhu.
Heko Museveni.
Wengi tupo na wewe 100%
Ambaye hayuko na wewe ni shoga lililokubuhu.
raisi antakiwa awe mtu wakijiamini. kama alivokuwa MUGUFULI Tanzania Dunia nzima ijue kweli nchi inakiongozi. sio mapapet tilulio nao Leo wengi wao wanafiki wamejawa masilahi binafsi aibu kabisaaMseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.
Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.
GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
Mshauri na dada yako Bi ushungu basi aweke nyundo Kama ya M7🙄
Huku Tz, serikali ya Mama Samia, LGbt wanaswekwa kimya kimya miaka 30 ikibainika tu unatoa na kuugawa na mchonyo wako
SafiHeko Museveni.
Wengi tupo na wewe 100%
Ambaye hayuko na wewe ni shoga lililokubuhu.
raisi antakiwa awe mtu wakijiamini. kama alivokuwa MUGUFULI Tanzania Dunia nzima ijue kweli nchi inakiongozi. sio mapapet tilulio nao Leo wengi wao wanafiki wamejawa masilahi binafsi aibu kabisaa
Kudadeq.........the world balance of power....is inevitable [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama museveni ana mvimbia Biden.....kweli Dunia inaenda kasi
Huyu ndiye Raisi wa ukweli
Naunga mkono commentHeko Museveni.
Wengi tupo na wewe 100%
Ambaye hayuko na wewe ni shoga lililokubuhu.
Kwa hiyo wewe unapenda nyuma Simon!Umri wake na ukwasi wake unamruhusu kusema hayo sababu hana chakupoteza.
Wewe una nini cha kupoteza?Umri wake na ukwasi wake unamruhusu kusema hayo sababu hana chakupoteza.