Mseven Anazidi kuivimbia Marekani

Mseven Anazidi kuivimbia Marekani

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.

Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.

GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.
IMG_1140.jpg

IMG_1139.jpg
 
Huku Tz, serikali ya Mama Samia, LGbt wanaswekwa kimya kimya miaka 30 ikibainika tu unatoa na kuugawa na mchonyo wako
 
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.

Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.

GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
raisi antakiwa awe mtu wakijiamini. kama alivokuwa MUGUFULI Tanzania Dunia nzima ijue kweli nchi inakiongozi. sio mapapet tilulio nao Leo wengi wao wanafiki wamejawa masilahi binafsi aibu kabisaa
 
Back
Top Bottom