kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Uko sahihi,mambo mengine ni kuyanyamazia tu yatayeyuka yenyewe!Ninalaani ushoga... Lakini ninafikiri kinachofanyika kinau-promote.
Umri wake na ukwasi wake unamruhusu kusema hayo sababu hana chakupoteza.
Saudia wako na Uganda? Sijasikia wakisuport hii sheria loudly!Heko Museveni.
Wengi tupo na wewe 100%
Ambaye hayuko na wewe ni shoga lililokubuhu.
Of course Saudi Arabia wana sharia kule.Saudia wako na Uganda? Sijasikia wakisuport hii sheria loudly!
stupid, utabana matumizi kwani lenyewe litakosa chochote, sana sana wananchi ndio wataumia, bladifakenMseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.
Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.
GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii hukooo?? Hizi story mnazopeanaa kijiweni huwa zinawafariji na hakuna lolote.Huku Tz, serikali ya Mama Samia, LGbt wanaswekwa kimya kimya miaka 30 ikibainika tu unatoa na kuugawa na mchonyo wako
Mbna wananchi hao hao watamshukia km mwewee, anashindana na USA ubavu anao? Huyo Mu7 anatafuta kukubalika na wananchi wake tena, ndo anatumia ushoga km chambooo.stupid, utabana matumizi kwani lenyewe litakosa chochote, sana sana wananchi ndio wataumia, bladifaken
Atafanyiwa figisu had apoteze maisha, wapiii uliona hiloo? Kwan nyie mnataka mashoga wakazane hadharani?? Wanafanya huko faraghani sasa tatizo nn.Swala la ushoga linatiwa tu chumvi, ktk bara la Afrika huu mkakati wa kueneza ushoga ni sawa na kile kinachoitwa dead on arrival kwani utamaduni wetu hauwezi kabisa kuurusu huu uovu kushamiri.
Unaweza ukatembea mikoa yote ya Tanzania na usione hao wanaoitwa mashoga kwa macho kwa sababu jamii yetu haiwezi kukubali kuishi na shoga atafanyiwa tu figisu hadi apoteze maisha.
Hivyo hao wanaofagilia ushoga ili ienee Afrika wanapoteza muda wao bure because it's an exercise in futility, African culture is quite different from other values.
Mtwara,Mbeya,.....gawa tu huo mchonyo wako alafu serikali ijue.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii hukooo?? Hizi story mnazopeanaa kijiweni huwa zinawafariji na hakuna lolote.
Mnachekeshaa kweliii
Vatican wao wameruhusu?Saudia wako na Uganda? Sijasikia wakisuport hii sheria loudly!
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.
Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.
GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
stupid, utabana matumizi kwani lenyewe litakosa chochote, sana sana wananchi ndio wataumia, bladifaken
Hawa ndo watu wanaohitajika, watu wenye msimamo.
Kuna hii quote ya Mugabe juu ya Obama “If President Barack Obama wants me to allow marriage for same-sex couples in my country (Zimbabwe), he must come here so that I marry him first.”
Mwanaume aliongea [emoji23][emoji119]