Mseven Anazidi kuivimbia Marekani

Mseven Anazidi kuivimbia Marekani

Kwa hili suala la ushoga ,namuona marekani kama kichaa au mwendawazimu anayejaribu kuwachokonoa watu wenye akili timamu kwa maneno ya kuudhi na matusi ya nguoni..,kwa mtu mwenye hekima na busara huwezi kurespond kwa vitendo vya mwendawazimu, maana nyote wawili mtaonekana ni wamoja tu,

Sioni sababu ya kulazimisha ushoga hadharani,Wala Sion sababu ya kupinga ushoga hadharani

Hivi nchi hambazo yazijaweka wazi misimamo Yao kuhusu ushoga mbona zimetulia tuli!?

Sio lazima kurespond kila jambo, sometimes silent is good answer,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Saudia wako na Uganda? Sijasikia wakisuport hii sheria loudly!
Of course Saudi Arabia wana sharia kule.

Muhimu wewe jirani zao upo na mashoga au upo na Museveni?
 
Watu km mimi mwenye akili timamu ndiyo maana ninaichukia US kutokana na ubabe wake wa kijinga wa kutaka Kila Taifa liwe miguuni mwake. US inapenda kujiona Nchi isiyogusika. Hata inapofanya makosa km mauj ya Moumar Ghadaf nk hakuna wa kukohoa, ila wengine wakifanya kilichobora na manufaa kwa Mataifa Yao wao huja juu. Mfano hii ya Uganda, Russia nk. US inataka kuifanya Dunia km koloni lao.
 
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.

Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.

GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108
stupid, utabana matumizi kwani lenyewe litakosa chochote, sana sana wananchi ndio wataumia, bladifaken
 
Swala la ushoga linatiwa tu chumvi, ktk bara la Afrika huu mkakati wa kueneza ushoga ni sawa na kile kinachoitwa dead on arrival kwani utamaduni wetu hauwezi kabisa kuurusu huu uovu kushamiri.

Unaweza ukatembea mikoa yote ya Tanzania na usione hao wanaoitwa mashoga kwa macho kwa sababu jamii yetu haiwezi kukubali kuishi na shoga atafanyiwa tu figisu hadi apoteze maisha.

Hivyo hao wanaofagilia ushoga ili ienee Afrika wanapoteza muda wao bure because it's an exercise in futility, African culture is quite different from other values.
 
Huku Tz, serikali ya Mama Samia, LGbt wanaswekwa kimya kimya miaka 30 ikibainika tu unatoa na kuugawa na mchonyo wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii hukooo?? Hizi story mnazopeanaa kijiweni huwa zinawafariji na hakuna lolote.

Mnachekeshaa kweliii
 
stupid, utabana matumizi kwani lenyewe litakosa chochote, sana sana wananchi ndio wataumia, bladifaken
Mbna wananchi hao hao watamshukia km mwewee, anashindana na USA ubavu anao? Huyo Mu7 anatafuta kukubalika na wananchi wake tena, ndo anatumia ushoga km chambooo.
 
Swala la ushoga linatiwa tu chumvi, ktk bara la Afrika huu mkakati wa kueneza ushoga ni sawa na kile kinachoitwa dead on arrival kwani utamaduni wetu hauwezi kabisa kuurusu huu uovu kushamiri.

Unaweza ukatembea mikoa yote ya Tanzania na usione hao wanaoitwa mashoga kwa macho kwa sababu jamii yetu haiwezi kukubali kuishi na shoga atafanyiwa tu figisu hadi apoteze maisha.

Hivyo hao wanaofagilia ushoga ili ienee Afrika wanapoteza muda wao bure because it's an exercise in futility, African culture is quite different from other values.
Atafanyiwa figisu had apoteze maisha, wapiii uliona hiloo? Kwan nyie mnataka mashoga wakazane hadharani?? Wanafanya huko faraghani sasa tatizo nn.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii hukooo?? Hizi story mnazopeanaa kijiweni huwa zinawafariji na hakuna lolote.

Mnachekeshaa kweliii
Mtwara,Mbeya,.....gawa tu huo mchonyo wako alafu serikali ijue.
 
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa Mengine. Kwenye suala la misaada amesema watabana matumizi.

Marekani anahubiri Demokrasia mbona anapangiwa watu mambo anayotaka yeye?? Hii ndo maaana ya demokrasia??. Nawakumbusha Uganda sio sehem salama kwa LGBTQ kule wako serious.

GOD BLESS UGANDA [emoji1254]
GOD BLESS MSEVEN.View attachment 2645107
View attachment 2645108

Hawa ndo watu wanaohitajika, watu wenye msimamo.

Kuna hii quote ya Mugabe juu ya Obama “If President Barack Obama wants me to allow marriage for same-sex couples in my country (Zimbabwe), he must come here so that I marry him first.”
 
Mwanaume aliongea [emoji23][emoji119]
 
Mwanaume aliongea [emoji23][emoji119]

Alikuwa anamchana peupe. Check hiyo pia

We have this American president, Obama, born of an African father, who is saying we will not give you aid if you don't embrace homosexuality. We ask, was he born out of homosexuality? We need continuity in our race, and that comes from the woman, and no to homosexuality.
 
Back
Top Bottom