Msg to Kiba..Hii Mwana sijui Dsm umepanick..Chorus,Theme r everywhere

Nasema hivi Ali Kiba's vocal wise ni unbeatable..sio yeye wakwanza kuwa na kipaji cha sauti nzuri..hapa naongelea hiyo mwana sijuI dsm maana hata theme haileweki..nyimbo kapanick chorus haieleweki ni kama trial song ..compared na kazi zake za nyuma kachemka..hii kwa bars,vilabu sawa...huswahilini.com
 
Wewe umejuaje kapaniki this is to much ni yeye kaamua alichoimba usimpangie kama daimond alivoamua kuimba za kwakwe hamna aliye mdiss mbona hata wa dai wimbo mdogo mdogo ni wa uswazi tu hausikilizwi na classes zote kwenye jamii zaidi ya tandale huwezi kumpangia cha kuimba bana thats to much otherwise inaonyesha umefedheka sana too much bana loh
 
Ukweli unabaki pale pale Mwanadsm ni habari ya mjini...unapoteza muda wako tu!!
 
Kumbe na wewe team ndomo? Mbona sie Dada jide kashinda lakini hamuoni makelele humu? Punguzen ushamba team ndomo

Waambie binamu.Na mtoa mada kapanic maana mara kiba ana vocal nzuri mara management si nzuri yani team ndomo wamepanic vibaya hadi huruma
 
Kumbe na wewe team ndomo? Mbona sie Dada jide kashinda lakini hamuoni makelele humu? Punguzen ushamba team ndomo

Mi jide mpe hongera zake,lakini si unaona domo alivyozihangaikiaaa labda safari hii atamalizia nyumba yakee, sipati picha team wemaa
 
Sasa iv haina nguvu sana kama zile BET , izi ilikuwa lazima ndomo ashinde kwa kuwa yeye ndo msanii anayetamba kwa sasa kama ilivyo kwa jide
 
Kiba Yuko Matured......Mziki Wake Lazima Ufanane Nae.....Yuko Very Composed.....Si Kwamba Ana Kipaji Saaaaana.,Sema Ni Mwimbaji Mzuri,Mwenye Imani Na Mziki Wake......Anaishi Maisha Yake.....Thats Why Anapendwa,Anagusa Watu...
BACK TO THE TOPIC
Mwana Ni Nyimbo Nzuri(SitaExxagerate Kuwa Ni Boooonge La Ngoma Kama Wengine)...Mwana Ina Sauti Tamu....Ina Ujumbe Huku Inachezeka,Ina Vionjo Wanavyovipenda Wachezaji Na Wanywaji......Ina Mpangilio Safi...InaRelate Na Dushelele (Thats Kiba)......Umekaa KiNgwasuma-Akudo Type....Kwanini Usipendwe?
Ukiusikiliza Kwa Lengo La Kuulinganisha Na Chibu...Utajikuta Kwenye Mihemuko Mingine.....Kiba Is Being Kiba....Tuheshimu Hilo.
 
Waambie ana tuzo mbili sasa..haloooo

Ivi wewe hiyo source yako ni ya wapi?acha kudanganya watu ndomo kachkua tuzo 1 tu,mapenzi yako binafsi kwa ndomo yasikufanye upotoshe watu
 
kiba atasubiri sana kwa platinumz, hiyo nyimbo ya mwana ni mbovu sijapata kuona
 
Mwenzio keshabeba tuzo mbilii ya msanii bora East Afrika na msanii bora wa kiume Afrika mtajijuuuu

Wee binamu Artist of the year ni Davido. Diamond kashinda best male East Africa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lakin sema na ukweliio nyimbo ya kiba ni nzuriii ila abadilikeee banaaa nae aitwe aitwe kwenye matuzo men
 
Wewe umejuaje kapaniki this is to much ni yeye kaamua alichoimba usimpangie kama daimond alivoamua kuimba za kwakwe hamna aliye mdiss mbona hata wa dai wimbo mdogo mdogo ni wa uswazi tu hausikilizwi na classes zote kwenye jamii zaidi ya tandale huwezi kumpangia cha kuimba bana thats to much otherwise inaonyesha umefedheka sana too much bana loh

achana nae wapambee hao wapambe...!!
 
Kiba aendelee kua hater wa dayamondi atasikika zaidi ila muziki umemshinda
 
Kiba Yuko Matured......Mziki Wake Lazima Ufanane Nae.....Yuko Very Composed.....Si Kwamba Ana Kipaji Saaaaana.,Sema Ni Mwimbaji Mzuri,Mwenye Imani Na Mziki Wake......Anaishi Maisha Yake.....Thats Why Anapendwa,Anagusa Watu...
BACK TO THE TOPIC
Mwana Ni Nyimbo Nzuri(SitaExxagerate Kuwa Ni Boooonge La Ngoma Kama Wengine)...Mwana Ina Sauti Tamu....Ina Ujumbe Huku Inachezeka,Ina Vionjo Wanavyovipenda Wachezaji Na Wanywaji......Ina Mpangilio Safi...InaRelate Na Dushelele (Thats Kiba)......Umekaa KiNgwasuma-Akudo Type....Kwanini Usipendwe?
Ukiusikiliza Kwa Lengo La Kuulinganisha Na Chibu...Utajikuta Kwenye Mihemuko Mingine.....Kiba Is Being Kiba....Tuheshimu Hilo.

kweli je
afu mbona kiba wala hampondeagi diamons
 
Watabisha sababu ya ushabiki lakini upo sahihi mno.Mimi sijawahi kuwa shabiki wa yoyote kati ya dimond na kiba ila nawakubali wote sababu kila mmoja anamzidi mwenzake katika nyanja tofauti

Ila hapa kiba kapanic,nyimbo alizotoa kwa mpigo kutaka kushindana na Domo kachemsha na ita mgharimu
 
Back
Top Bottom