- Thread starter
- #21
Mmmh japokua mleta mada kaongea kishabiki lakini kuna ka ukweli hapa!
Asante..👏👏👏👏👏👏👏👏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh japokua mleta mada kaongea kishabiki lakini kuna ka ukweli hapa!
Mwenzio keshabeba tuzo mbilii ya msanii bora East Afrika na msanii bora wa kiume Afrika mtajijuuuu
Nasema hivi Ali Kiba's vocal wise ni unbeatable..sio yeye wakwanza kuwa na kipaji cha sauti nzuri..hapa naongelea hiyo mwana sijuI dsm maana hata theme haileweki..nyimbo kapanick chorus haieleweki ni kama trial song ..compared na kazi zake za nyuma kachemka..hii kwa bars,vilabu sawa...huswahilini.com

Kumbe na wewe team ndomo? Mbona sie Dada jide kashinda lakini hamuoni makelele humu? Punguzen ushamba team ndomo
Kumbe na wewe team ndomo? Mbona sie Dada jide kashinda lakini hamuoni makelele humu? Punguzen ushamba team ndomo
Mi jide mpe hongera zake,lakini si unaona domo alivyozihangaikiaaa labda safari hii atamalizia nyumba yakee, sipati picha team wemaa
Waambie ana tuzo mbili sasa..haloooo
Mwenzio keshabeba tuzo mbilii ya msanii bora East Afrika na msanii bora wa kiume Afrika mtajijuuuu
Wee binamu Artist of the year ni Davido. Diamond kashinda best male East Africa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe umejuaje kapaniki this is to much ni yeye kaamua alichoimba usimpangie kama daimond alivoamua kuimba za kwakwe hamna aliye mdiss mbona hata wa dai wimbo mdogo mdogo ni wa uswazi tu hausikilizwi na classes zote kwenye jamii zaidi ya tandale huwezi kumpangia cha kuimba bana thats to much otherwise inaonyesha umefedheka sana too much bana loh
Kiba Yuko Matured......Mziki Wake Lazima Ufanane Nae.....Yuko Very Composed.....Si Kwamba Ana Kipaji Saaaaana.,Sema Ni Mwimbaji Mzuri,Mwenye Imani Na Mziki Wake......Anaishi Maisha Yake.....Thats Why Anapendwa,Anagusa Watu...
BACK TO THE TOPIC
Mwana Ni Nyimbo Nzuri(SitaExxagerate Kuwa Ni Boooonge La Ngoma Kama Wengine)...Mwana Ina Sauti Tamu....Ina Ujumbe Huku Inachezeka,Ina Vionjo Wanavyovipenda Wachezaji Na Wanywaji......Ina Mpangilio Safi...InaRelate Na Dushelele (Thats Kiba)......Umekaa KiNgwasuma-Akudo Type....Kwanini Usipendwe?
Ukiusikiliza Kwa Lengo La Kuulinganisha Na Chibu...Utajikuta Kwenye Mihemuko Mingine.....Kiba Is Being Kiba....Tuheshimu Hilo.
kweli je
afu mbona kiba wala hampondeagi diamons
kweli je
afu mbona kiba wala hampondeagi diamons