Kiba Yuko Matured......Mziki Wake Lazima Ufanane Nae.....Yuko Very Composed.....Si Kwamba Ana Kipaji Saaaaana.,Sema Ni Mwimbaji Mzuri,Mwenye Imani Na Mziki Wake......Anaishi Maisha Yake.....Thats Why Anapendwa,Anagusa Watu...
BACK TO THE TOPIC
Mwana Ni Nyimbo Nzuri(SitaExxagerate Kuwa Ni Boooonge La Ngoma Kama Wengine)...Mwana Ina Sauti Tamu....Ina Ujumbe Huku Inachezeka,Ina Vionjo Wanavyovipenda Wachezaji Na Wanywaji......Ina Mpangilio Safi...InaRelate Na Dushelele (Thats Kiba)......Umekaa KiNgwasuma-Akudo Type....Kwanini Usipendwe?
Ukiusikiliza Kwa Lengo La Kuulinganisha Na Chibu...Utajikuta Kwenye Mihemuko Mingine.....Kiba Is Being Kiba....Tuheshimu Hilo.