KweliUkweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo Sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu.ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakat...
Kipa wao mcommoro ndie mchezaji wao ghali ila ni mkaa benchi na alisajiliwa kwa mbwembwe mnoAzam kuna Ahmada?
DuhKipa wao mcommoro ndie mchezaji wao ghali ila ni mkaa benchi na alisajiliwa kwa mbwembwe mno
Tulisema anachoanzisha Feisal ni uhuni na kitazaa Wahuni. Leo kiko wapi kama si uhuni ule ule?Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo Sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu.ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle.alipaswa kulipwa mshahara...
Amembebesha mzigo kubwa wachezaji wote wanamtegea.kocha alijaribu kumpumzisha mashabiki wanatukana.timu inapoteana.anafanyakazi sawa na wachezaji 5.si haki hata kidogoAliachaje mshahara mkubwa then akaja simba kwenye mshahara mdogo? kumbe hata wewe mwenyewe huna akili kama Chama wako!
Kama kweli analipwa million 14 bas Simba wafanye wamuache aondoke, pesa nyingi hakuna anachokifanya uwanjani chenye manufaaUkweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.
Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.
Mjazeni tu ujingaUkweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.
Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.
Kwa kumsikiliza yule jamaa sijui wa EFM au WASAFI FM anayesemaga za ndaaniiiii huyo Ahamada anakula 50M.Kipa wao mcommoro ndie mchezaji wao ghali ila ni mkaa benchi na alisajiliwa kwa mbwembwe mno
Mshahara wako sh.ngapi?Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.
Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.