Mshahara anaolipwa Chama haulingani na kazi

Pics

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
240
Reaction score
181
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle.

Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.

Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.
 
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo Sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu.ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle.alipaswa kulipwa mshahara...
Tulisema anachoanzisha Feisal ni uhuni na kitazaa Wahuni. Leo kiko wapi kama si uhuni ule ule?
 
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.

Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.
Kama kweli analipwa million 14 bas Simba wafanye wamuache aondoke, pesa nyingi hakuna anachokifanya uwanjani chenye manufaa
 
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.

Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.
Mjazeni tu ujinga
 
Mshahara wako sh.ngapi?
 
Hakuna mchezaji humo ndio maana akirudigi timu ya taifa ya Zambia anakula bench
 
Back
Top Bottom