Pics
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 240
- 181
Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle.
Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama Chama.
Ni Bora aondoke Kama hawawezi kumboreshea maslahi. Maisha soka mafupi Sana na umri umeenda, unamlipaje Chama sawa na Doumbia wa Yanga. Chama hata 30m bado ndogo.