Mshahara Julai 2022

Mshahara Julai 2022

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
 
Twende direct kwenye swali acha kuzungukazunguka..

Najua unataka kujua kama mshahara tayari au bado
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Wewe unalipwa posho kamshahara kanajikalia benki mpaka basi, yeye halipwi posho kamshahara ka mwezi wa 6 kalijiishia tarehe 3 ya mwezi wa 7, sasa unataka awe kama wewe! Hao wanafunzi mwalimu akikosekana wanafurahi waache watoto wainjoi.
 
Back
Top Bottom