Mshahara Julai 2022

Mshahara Julai 2022

Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
😀 😀 😀 😀daah watu mna majunguu
 
Daa wametukanwa sana hawa watu.
Aya basi nami niongezee,WALIMU NI WAJINGA!
Ulivyo na akili fupi, unafikiri mwalimu ni yule tu aliyekufundisha darasani na pia kukulamba bakora kwa sababu ya u slow learner wako!

Kumbe hata wazazi wako waliokufundisha kuteremsha hiyo sketi yako kule chooni wakati wa kukata gogo, nao ni walimu.
 
🤔Its time to wake up! Walimu wanatumiwa kama scapegoat tu na wanasiasa Censoring their ROT!
👀Amkeni Fuatilieni mambo ya Msingi sio kila siku Mwalimu
🤣Badala uwaze Bilion 100 za Ruzuku ya mafuta unamuwaza Mwl ngoja waanze kukulamba Tozo miamala ya Benki si mlikimbia M~pesa mkahamia Benk sasa wamewafuata hukohuko
 
Hukumwambia akupe mrejesho Ili na wewe uwahi?
 
hakika hizi nyuzi za mishahara zimeteka hapa Jf, kila kona......
Hebu tulieni, Mama kawatendea mambo mazuri sasa mnatakiwa muhudumie wananchi kwa bidii na moyo wa upendo.
 
Back
Top Bottom