Mshahara Julai 2022

Mshahara Julai 2022

kimfaacho mtu chake.
Hii kauli nilikuja ikubali siku moja ,jamaa yangu alinunua baiskeli ya mishe mishe na kuwahi job wacha povu litutoke na kumuona kalemaa ubongo😂😂 siku hiyo alfajiri sana nawahi job kwa mguu full mijasho na begi langu mwamba alinipita kama upepo na hii nyingi sana huku ananyonga pedali ,nilifika baada ya kama dk 30 hivi na kumkuta karelax na kusahau kabisaa ndipo hiyo kauli ikanitoka ...kimfaacho mtu chake
 
[emoji28] mnawasimanga walimu sana ndio maana wanawatombea wake zenu wakienda shule kumpeleka mtoto au kujua maendeleo ya kielimu...
Acha kujipa moyo wewe..mzazi gani ambaye mtoto wake yupo shule ya kata anakuja kucheki maendeleo ya mwanae?.
 
Hapo umeongea vice versa. Walimu wengi ndio wahanga wa wake zao kupitiwa na bodaabodaa
 
Acha kujipa moyo wewe..mzazi gani ambaye mtoto wake yupo shule ya kata anakuja kucheki maendeleo ya mwanae?.
Sasa hivi mtu akipata vihela kidogo tu anapeleka Watoto English medium. Hata walimu wenyewe Watoto wao hawasomi hizo shule
 
Miongoni mwa watu wanaodharaurika humu JF n pamoja na wewe buku 7
Mnatoa moral authority wapi kuwakosoa walimu wenu?
Mwalimu sio lazima afundishe darasani hta wazazi pia viongozi wa dini wana play part km walimu.
 
Utofauti ni kwamba wazazi wangu na viongozi wa dini wana brain
 
Sifa na ubora wa waalimu ulianza kuharibika baada ya kuanza kuruhusu felia nao kusomea ualimu.

#MaendeleoHayanaChama
Tafsiri ya felia sijui kama mnaijua. Failure anatoa wapi cheti? Mbona kuna wa afya tunaona sifa ni walau uwe na D walau 2 za biolojia na ... uaskari si wamejaa felia wanaotumia cheti cha 7 mbona hawasemwi hivi? Mi nadhani wengi wanaosimanga walimu ni wale waliokuwa wanajiona manunda shuleni matokeo yake wakafeli ko ni genge sa hivi wamejipanga kusimanga walimu wakidhani ndo chanzo cha kufeli kwao.
 
Ukweli unauma eeh? Watu waliosoma afya hadi sasa wanaakili, Askari hivyohivyo. Tatizo lipo kwa walimu
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Walimu jiongezeni mfanye shughuli za ujasiliamali nje ya mishahara si mnaona sasa mnavyoaibika
 
Tafsiri ya felia sijui kama mnaijua. Failure anatoa wapi cheti? Mbona kuna wa afya tunaona sifa ni walau uwe na D walau 2 za biolojia na ... uaskari si wamejaa felia wanaotumia cheti cha 7 mbona hawasemwi hivi? Mi nadhani wengi wanaosimanga walimu ni wale waliokuwa wanajiona manunda shuleni matokeo yake wakafeli ko ni genge sa hivi wamejipanga kusimanga walimu wakidhani ndo chanzo cha kufeli kwao.
Manake pale waliporuhusu wenye 4 za mwisho kusomea ualimu.

Ualimu kabla ya hapo kama huna 3 huwezi kwenda kusomea ualimu.

Ili kurudisha heshima ya ualimu..kigezo kiwe mwenyw dv 2..hizo 3 na 4 tupa kule.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ungeuliza swali tu ungejibiwa, hizo tetesi za jumatatu umezipataje kama wewe sio mhusika? Halafu nani kakuambia mwalimu anatakiwa kufundisha tu??
 
Back
Top Bottom