Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA
tuliza kishundu wewe kapige kwanza mswaki uondoe ilo harufu ndo uropokeNimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Huu ni mwandiko wa hawa mwalimu wa juzi a.k.a Walimu wa PDFNimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
JF imejaa vilaza mnaoleta nyuzi zisizo na maana.Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Aliona umekula kona akajiongeza.Labda aliona itachelewa.
[emoji848]Its time to wake up! Walimu wanatumiwa kama scapegoat tu na wanasiasa Censoring their ROT!
[emoji102]Amkeni Fuatilieni mambo ya Msingi sio kila siku Mwalimu
[emoji1787]Badala uwaze Bilion 100 za Ruzuku ya mafuta unamuwaza Mwl ngoja waanze kukulamba Tozo miamala ya Benki si mlikimbia M~pesa mkahamia Benk sasa wamewafuata hukohuko