Mshahara Julai 2022

Mshahara Julai 2022

Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA

Kuna mwalimu wetu mmoja advance nilikuwa namfahamu alipata division 1 form six enzi zake na form 4 alipata division 2.

Kuna watu wanapenda ualimu tu sio wengi ila wapo kabisa unakuta mtu amefaulu lakini dream job yake ni kuwa mwalimu

Inashangaza sana ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
tuliza kishundu wewe kapige kwanza mswaki uondoe ilo harufu ndo uropoke
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Huu ni mwandiko wa hawa mwalimu wa juzi a.k.a Walimu wa PDF
 
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.

Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
JF imejaa vilaza mnaoleta nyuzi zisizo na maana.
 
[emoji848]Its time to wake up! Walimu wanatumiwa kama scapegoat tu na wanasiasa Censoring their ROT!
[emoji102]Amkeni Fuatilieni mambo ya Msingi sio kila siku Mwalimu
[emoji1787]Badala uwaze Bilion 100 za Ruzuku ya mafuta unamuwaza Mwl ngoja waanze kukulamba Tozo miamala ya Benki si mlikimbia M~pesa mkahamia Benk sasa wamewafuata hukohuko
IMG-20220720-WA0043.jpg
 
Back
Top Bottom