Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wangu siwaleti hukoUkijiongeza unakuwa na akili hzi nadhani. [emoji23][emoji23] kajiongeze tena pimbi uliyetendwa na mwlimu X
WalijiongezaWalipita vyuo gani hadi kuitwa hivyo? Sijawahi kuona title ya academician
Huna uwezo wa kufundisha FezaUlipotaja Walimu wanaofundisha Feza na kuona wao ni ''So Special'' nikachora mstari kuwa wewe ni fungu la kukosa. Usiniulize kwanini ila jua tu wewe hujui unachokizungumzia.
Huijui Feza unaisikia, naijua Feza way back 2006. Ukitaka kujua chochote kuhusu Feza nitafute nitakuambia halafu uje uwasimulie ngumbaru wenzako.Huna uwezo wa kufundisha Feza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazinguaMi zinakuja za kutoa 30,000/= ili kushiriki Korosho Marathon na za chuo cha DIDES za kuniambia kuwa kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho,.....ajabu ni kuwa mtoto wenyewe alipata 0
E ngapiSalary tayari mkuu, Kuna ongezeko kulingana la Tgts yako
Mimi nimebaini ongezeko la Tshs. 12,880 kwenye mshahara wangu [emoji3059]. Sio haba kwa bia 6 unapata.Salary tayari mkuu, Kuna ongezeko kulingana la Tgts yako
Feza ipi?mbona inachukua walimu Hawa Hawa wa vyuo vya Kibongo,nawajua walimu waliotoka shule za kata kufundisha FezaWalimu wapo wa aina mbili
Grade 1 na
Popote kambi.
Hapa tunazungumzia hawa wa popote kambi. Au unataka kijifananisha na mwalimu anayefundisha Feza?
[emoji23][emoji23]hujielewiNdio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA
Jakaya mirisho Kikwete nakusalute. Mishahara wanayotembelea watumishi ni Ile uliyoiacha. Kama Kuna ongezeko halijazidi 70,000/- tangu uondoke madaraka 2015.wewe pekee uliwaona wafanyakazi.... Siku hizi ni makelele majukwaani na vyombo vya habari kuwa tunaongeza mshahara... Huku hata kiwango Cha kisheria Cha annual increment haikifikiwi hata nusu yake. JK uliwajali watumishi. Mungu akulinde kwa hili.Imeongezeka 20K TU . Serikali ya CCM haijawahi kuwa upande wa watumishi wa umma.
nilidhani mtu wa maana kumbe ni mjinga tuu!! hajielewi na Ana chuki binafsiKumbe wa feza boys si mwalimu. [emoji23][emoji23] punguani ni punguani tu. Kisa maza yako alikuwa mwl na haeleweki unahisi ni wote? Hao grade 1 walipta vyuo gani?
Mungu ampiganie Sana maana tulijua tunamuona Hana kabisaa!Ila kinachotokea Sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jakaya mirisho Kikwete nakusalute. Mishahara wanayotembelea watumishi ni Ile uliyoiacha. Kama Kuna ongezeko halijazidi 70,000/- tangu uondoke madaraka 2015.wewe pekee uliwaona wafanyakazi.... Siku hizi ni makelele majukwaani na vyombo vya habari kuwa tunaongeza mshahara... Huku hata kiwango Cha kisheria Cha annual increment haikifikiwi hata nusu yake. JK uliwajali watumishi. Mungu akulinde kwa hili.
There's dwarfism in thinking ability, actual proof [emoji23][emoji23][emoji23]Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Huna uwezo wa kufundisha FezaHuijui Feza unaisikia, naijua Feza way back 2006. Ukitaka kujua chochote kuhusu Feza nitafute nitakuambia halafu uje uwasimulie ngumbaru wenzako.
Kwanza sijasema Feza hakuna walimu wazuri ila usidhani kuna Special teachers kutoka mbinguni, wana recruit teachers kutoka shule hizo hizo unazozijua halafu wanawaandaa vizur kulingana na mazingira yao.
Acha kuropoka unadhani kila MTU alifeli Kama wewe? Nyie ndiyo mmekariri walimu wanalipwa laki 3,fanya Utafiti Kwanza kabla ya kuropoka! Kumbe humu namo Kuna vilaza Kama wewe?Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Na hao wa div. 1 na 2 ndio mabingwa wa kuzurura na bahasha za khaki kwenye ofisi za waliofeli wakiomba kibarua Cha ujira wa laki moja Kwa mwezi! Yaani wamewazidi machinga Kwa kuranda barabarani! Huenda nawe ni mmoja wao. Pole Yako wewe!Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA