Mshahara mwezi Julai bado?

Ukilipwa malimbikizo yako nilipe pesa yangu maana wewe kwa kukopa umezidi.
 
Bado mnategemea mishahara duh , kumbe mko wengi eeh pambaneni na hali zenu kama sisi
 
Mambo ya ajira haya...hela yote imekatwa kodi ya uzalendo na utii
 
Mimi nina kipato cha ziada.hicho ni kwa ajili ya serving na mambo mengine ya maendeleo.kula,madeni madogo madogo,ndugu,na hela ya michepuko ni mshahara.mshahara ni haki yangu hata kama ninaingiza milioni mia kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…