Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama DUkilipwa niambie nikupe namba ya wakala utoe kabisaaa
Nikatengeneze nywele mimi🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️😆😆😆
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao.vp jaman mshaharawa mwezi wa saba bado?
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao.vp jaman mshaharawa mwezi wa saba bado?
CRDB TAYARI MKUU,
SMS nimeisoma sasaMhhhhi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msalimie Dereva bonge.Halmashauri ya Kaliua hawatoi mikopo ya kupunguza Njaa?
CRDB TAYARI MKUU,
SMS nimeisoma sasa hivi
Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Mkuu huko kwenu wavaa vitenge nilisikia mlishachukua chenu jana.Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Wazee wa Bakabaka wamechukua jana,Mkuu huko kwenu wavaa vitenge nilisikia mlishachukua chenu jana.