Mshahara mwezi Julai bado?

Mshahara mwezi Julai bado?

Ukilipwa malimbikizo yako nilipe pesa yangu maana wewe kwa kukopa umezidi.
 
Mambo ya ajira haya...hela yote imekatwa kodi ya uzalendo na utii
 
Mimi nina kipato cha ziada.hicho ni kwa ajili ya serving na mambo mengine ya maendeleo.kula,madeni madogo madogo,ndugu,na hela ya michepuko ni mshahara.mshahara ni haki yangu hata kama ninaingiza milioni mia kila siku.
 
Back
Top Bottom