Mshahara na siku kuu ya iddi

Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?

[emoji3][emoji3][emoji3]aisee
 
Hii ni Serikali ya awamu ya sita inayoupiga mwingi, subiri hadi tarehe 26/27
 
Mbna mida ya saa 12 jioni nimepita hapo NMB kuna foleni ya ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…