Mshahara na siku kuu ya iddi

Mshahara na siku kuu ya iddi

Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?

[emoji3][emoji3][emoji3]aisee
 
Mbna mida ya saa 12 jioni nimepita hapo NMB kuna foleni ya ajabu?
 
Back
Top Bottom