mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Uzushi tu, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kama ndo kwanza katoka shule na huu ndo mwezi ake wa kwanza kupokea mshahara je,vitega uchumi anavitolea wapi afu ni mtoto wa muuza mkaa huu uliopigwa marufuku.Huyo rafk yako anaonekana hana vitega uchumi anategemea mshahara yy
Sister comment yako imekuwa kama msumari wa moto moyoni mwangu. Umeongea point mkuu. Naomba unipe muongozo nisitegemee mshahara. Ikiwezekana niPm ili unipe maarifaHuyo rafk yako anaonekana hana vitega uchumi anategemea mshahara yy
Kutoka kwa mshahara mapema si kwamba ni raha ni mateso tu kama huna kitu kingine cha kukuingizia hela. Bado Siku ngapi kama kweli umetoka Leo ili mwezi uishe? Siku kumi kwa mishahara ya JK ni nyingi sana ( kwa maana hatujawahi kuona mishara ya JPM) ukilinganisha na maisha ya sasa. Anyway wenye mishahara hongereni tu kwa kutoka mapema, ila sijui kama mtasustain. Sisi wa vibarua vya wahindi tunasubiri barua za khaki hadi tarehe tanoWafanyakazi wa serikalini mnaraha, nimetoka kumtembelea jamaa yangu anafurahi kupata mshahara Leo tarehe 20.
Hongereni Sie acha tuisome namba.
Tayari mkuuAcha kupotosha mshahara bado
teh teh teh hilo nalo wazoJamaa Washapiga Hela Inawezekana huyu jama ni wa Benki .. Mkiangalia Salio wao wanawakata 300 zenu
Tayari mkuu
Huyo rafk yako anaonekana hana vitega uchumi anategemea mshahara yy
Kwn kale kabines umekaacha mkuuHuyo rafk yako anaonekana hana vitega uchumi anategemea mshahara yy