Mshahara tarehe 20?

Mshahara tarehe 20?

Wafanyakazi wa serikalini mnaraha, nimetoka kumtembelea jamaa yangu anafurahi kupata mshahara Leo tarehe 20.

Hongereni Sie acha tuisome namba.
Mpendapombe siye wewe ulikuwa unatusimanga eti baa tunaagizaga soda na maji kama wanafunzi,wewe?
 
Wafanyakazi wa serikalini mnaraha, nimetoka kumtembelea jamaa yangu anafurahi kupata mshahara Leo tarehe 20.

Hongereni Sie acha tuisome namba.
Mkuu ungetuambia ni tasisi gani leo wamewekewa huo mshahara?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hahahaahaa nimecheka maana nimejigundua siko peke yangu.............. Hivi hawa hazina hawaruhusiwi kuapply social analysis kweli?... walipaswa wajue sikukuu ya Pasaka imetuacha weupeeee... so wangetulipa mapema kwa kweli. (Ila ni funzo usiwe na chanzo kimoja cha income)
 
Tulia hii serikali ya viwango inayowajali wafanyakazi wake leo mambo yenu yanaweza kuwa mazuri ili muangalie matumizi.
 
Sa hapo uliponambia tulia nani kakwambia nacheza sindimba au Mdumange?? maana ngoma ya Sindimba au Mdumange ndo mchezaji huwa hatulii......... au ulimaanisha Tulia Ackson?
 
Back
Top Bottom