Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Kuna jamaa yangu hapa yupo anasheherekea sijui wametoa? leo tusiokuwa na mshahara tutakoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mzee, Nimeiona.Haya kaangalieni tayari
Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi.Asante Mzee, Nimeiona.
Magu katisha sana.
Wacha Tuombe Mungu iwe hivyo...Maaana Duuh! Mwaka Unaisha, hajaongeza hata Senti[emoji134] [emoji2] [emoji119]Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi.
LohWatu wabishi Sana.. Nipo na jamaa yangu anatandika bapa hapa.. Mshahara tayari.
Asante Mzee, Nimeiona.
Magu katisha sana.
Noma sana.Mod wameleta kwenye chit chat utafikiri taarifa za uongo...