Majibu yako yamenifanya nicheke sana, Hiyo naona itakua sangura.Sa hapo uliponambia tulia nani kamwambia nacheza sindimba au Mdumange?? maana ngoma ya Sindimba au Mdumange ndo mchezaji huwa hatulii......... au ulimaanisha Tulia Ackson?
Nashukuru watakiwa hata kama unapokeaa laki tano unaweza ukahakikisha unajibanaa uwe wapika nyumban ndani ili kubana matumizi na usiwe mtu wa starehe sanaa ukipata laki tano akiba weka laki tatu jibane kama miezi sita hiv ukiwa na milion mbili tafuta biashara ambayo itakuingizia kama 50000 mpaka 70000 kwa week ukiipata hiyo unakuwa unatumiaa kula hela hiyo ,na mshahara wa laki tano ukiingiaa unaiachaa benk labda unaweza kutoa 50000 tu na 450000 inabaki utaenda na kupata biashara ni nyngne na misho wa siku unajikuta kila mwezi akiba inabaki laki sabaSister comment yako imekuwa kama msumari wa moto moyoni mwangu. Umeongea point mkuu. Naomba unipe muongozo nisitegemee mshahara. Ikiwezekana niPm ili unipe maarifa
Pamoja sana Mkuu.... tucheke tuongeze muda wa kuishi (if that is true).Majibu yako yamenifanya nicheke sana, Hiyo naona itakua sangura.
Kwa lipi?Leo viongozi wa tucta wamemsifia rais.
Kwa kuwajali wafanyakaziKwa lipi?
usicheke kwa sauti..........wengine Bank account bado hazijacheka.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Duuuh! Mzee, Hututakii Mema asee!!![emoji15] [emoji134] [emoji134]Ugomvi wangu sitaki muongezewe mshahara mtatusumbua huku bar.
Mbona mimi Sijauona huo...!?!??!Jamaa yangu ni dokta hapa hospitali ya Nzega, tunaendelea pata kilaji.
Hata mimi ni mtumishi wa umma, bado hazijaingia, nacheka hao TUCTA na huo "ufagio" waliompa JPM kwani katujali kwa lipi tokea alivyoingia, hata mia hajaongeza, zaidi ni vurugu za uhakiki zisizoisha kila siku!!!usicheke kwa sauti..........wengine Bank account bado hazijacheka.
Pouwa Mzee, TunawasubiriTulia hii serikali ya viwango inayowajali wafanyakazi wake leo mambo yenu yanaweza kuwa mazuri ili muangalie matumizi.
Tatizo lenu mnalalamika weee ukiingia hamsemiPouwa Mzee, Tunawasubiri
Haya kaangalieni tayariPouwa Mzee, Tunawasubiri
Mkuu ni idara ipi ambayo tayariHaya kaangalieni tayari