Mshahara tarehe 20?

Kuna jamaa yangu hapa yupo anasheherekea sijui wametoa? leo tusiokuwa na mshahara tutakoma
 
Reactions: SDG
Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi.
Wacha Tuombe Mungu iwe hivyo...Maaana Duuh! Mwaka Unaisha, hajaongeza hata Senti[emoji134] [emoji2] [emoji119]
 
Jamani mwenzenu nilikuwa nmepoteza laini ya voda sasa nikaenda kurenew. je wanaweza kuirudisha ile ya awali? nikaachana na hii mpya. maana nimepoteza details nyingi sana. Anae jua naomba msaada jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…