Unamwambia nini anayesema kwamba.wanaolalamika pesa hawana ni wapiga dili.Hali ngumu, mie nalipwa mshahara kidogo mno na niliishi kama shetani(hard life) ila kamkopo nimefungua biashara ndo naona unafuu. Ila maisha ya mfanyakazi ni magumu balaa.
Nawakopesha wabalipa ikitoka posho au mshahara
Sasa wewe si umebakiza mishahara 4 ya waalimu.Mimi nimebakiza milioni mbili na laki moja sijui kama zitanifikisha tarehe 25 kwa kweli
Mwalimu banaJamaa mmoja mwalimu, anadaiwa tayari tshs. 295,000 na kapokea mshahara juzi..
Alikuwa na madeni sana, tatizo ana wake wawili, hili ndio tatizo lake.. tulimshauri asioe mke wa pili hakusikia..
Ikifikia mshahara wa mwezi huu ukakutana na wa mwezi unaofuata basi wewe ni mtu mwenye uwezo mzuri,jitahidi mkuu ikutane utaniambia.Hv kwann kwa sisi tulio wengi mshahara huwa haukutani na wa mwezi unaofuata...yan tatizo nini wakubwa?
Jamaa mmoja mwalimu, anadaiwa tayari tshs. 295,000 na kapokea mshahara juzi..
Alikuwa na madeni sana, tatizo ana wake wawili, hili ndio tatizo lake.. tulimshauri asioe mke wa pili hakusikia..
Chuma ulete ndio tatizo kubwa , amino ninayosemaHv kwann kwa sisi tulio wengi mshahara huwa haukutani na wa mwezi unaofuata...yan tatizo nini wakubwa?