Mshahara ulitoka juzi, umebakisha sh. Ngapi wewe adi saa hii!!

Mshahara ulitoka juzi, umebakisha sh. Ngapi wewe adi saa hii!!

Mimi nimebakiza milioni mbili na laki moja sijui kama zitanifikisha tarehe 25 kwa kweli
 
Hali ngumu, mie nalipwa mshahara kidogo mno na niliishi kama shetani(hard life) ila kamkopo nimefungua biashara ndo naona unafuu. Ila maisha ya mfanyakazi ni magumu balaa.
Nawakopesha wabalipa ikitoka posho au mshahara
 
Unamwambia nini anayesema kwamba.wanaolalamika pesa hawana ni wapiga dili.
 
Jamaa mmoja mwalimu, anadaiwa tayari tshs. 295,000 na kapokea mshahara juzi..

Alikuwa na madeni sana, tatizo ana wake wawili, hili ndio tatizo lake.. tulimshauri asioe mke wa pili hakusikia..
Mwalimu bana

Tgts ikampa jeuri ya wake 2???

Hongera zake
 
Hv kwann kwa sisi tulio wengi mshahara huwa haukutani na wa mwezi unaofuata...yan tatizo nini wakubwa?
Ikifikia mshahara wa mwezi huu ukakutana na wa mwezi unaofuata basi wewe ni mtu mwenye uwezo mzuri,jitahidi mkuu ikutane utaniambia.
 
Kuna jamaa mmoja ana mikopo hatari kwenye taasisi za fedha, yeye kwa sasa mshahara wake ni Tzs 15,000/- anazobaki nazo. Sijui atakuwa na buku ngapi mpaka leo?
 
Jamaa mmoja mwalimu, anadaiwa tayari tshs. 295,000 na kapokea mshahara juzi..

Alikuwa na madeni sana, tatizo ana wake wawili, hili ndio tatizo lake.. tulimshauri asioe mke wa pili hakusikia..

Huyu hatuhusu.....wala haina haja ya kumlaum mtu.
 
Back
Top Bottom