Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,197
Reaction score
1,826
Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
 
Nauli zikishuka na nyongeza za mishahara ztashushwa??Bei ya vitu inaweza ikapanda na ikashuka vile vile huwezi sema mishahara upande kwa kuangalia bei za vtu!Pato la serikali linapokuwa na mishahara huongezwa
 
Kipindi Cha Magu sukari ilifika Hadi tsh.6,000 kwa kilo 1,na je mshahara ulikua umeongezeka kwa asilimia ngapi?
 
Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.

Unateseka ukiwa wapi mkuu?
 
Nauli zikishuka na nyongeza za mishahara ztashushwa??Bei ya vitu inaweza ikapanda na ikashuka vile vile huwezi sema mishahara upande kwa kuangalia bei za vtu!Pato la serikali linapokuwa na mishahara huongezwa
Tanzania haijawahi kushuka bei ya kitu chochote ikishapanda.
 
Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
Sawa ila shida yako ni kumshabikia JPM sidhani kama unafikiri vizuri.
 
Back
Top Bottom