Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.

Kisheria mwajiriwa ana haki zote za kuacha kazi au kutafuta kazi nyingine pale ambapo ana ona maslahi hayafikii matakwa yake. Tafuta njia za kulima au kufanya shughuli serikali sio baba wala mama yako.
 
Kisheria mshahara unatakiwa uendane na gharama za maisha kama huwezi kulipa mishahara wafanyakazi inayowakidhi, achia hiyo nafasi waje wengine watimize wajibu wao, nikweli wafanyakazi sio watoto wenu upo sahihi''
 
Back
Top Bottom