ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Unataka umvizie Ili umuue? Ndio maana namsifu Mzee wangu hakuna mtu alijua amepata kiasi ganiNaomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Ndio ngazi ya mwisho hii Hadi anastaafu.Miaka yote zaidi ya 30 alikuwa analipwa mshahara huohuo?
InagomaKwa kutumia formula hii, utapata kiwango atakacholipwa baada ya kustaafu, yaani mafao yake ya mkupuo
Uongo huu,malupuluou ya 800k kila mwezi uyatoe wapi? Kwa kazi gani?Mi mwenyewe wangu ni 1.87mil na bado nina marupurupu ya laki8 kila mwezi hayapungui hata nisipofanya kazi
Mi pia mwalimu na nina 15yrs kazini
Weka calculatio tuone1. Mkupuo: TZS 69,346,427.60
2. Kila mwezi: TZS 938,179
Kinachowekwa kwenye calculator na formula kuu mbona havifanani? ?Kimsingi mfuko uwa unaangalia ile mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 (miaka mitatu) ambayo mwanachama alipokea ndani ya miaka kumi ya mwisho wa utumishi wake kabla hajastaafu. Hiyo mishahara mikubwa zaidi ya miezi 36 ndiyo ujumlishwa kwa pamoja na kisha kugawia tatu (yaani miaka mitatu) ili kupata wastani wa kipato hicho kwa mwaka mmoja mzima. Hiyo ndiyo APE kwenye formula Iliyotolewa na mdau kwenye comments za awali. Pia mfuko uangalia idadi ya miezi mwanachama aliyochangia kwenye mfuko (ambayo kwenye formula ndiyo N). Hivi vitu viwili ndivyo ubadilika kwenye formula kutegemea mwanachama na mwanachama wakati vingine havibadiliki.
Hivyo formula ya kupata kiasi cha mkupuo kusomeka kama ifuatavyo:
Commutted Pension Gratuity= (1/580) x N x APE x 12.5 x 33%.
Au kama hautaki kuangaika na mahesabu marefu tumia formula hii kupata pesa ya mkupuo:
0.007112 x N x APE.
Na formula ya kupata pension ya kila mwezi formula ni hii hapa chini:
(1/580) x N x APE x 1/12 x 67% au kwa kifupi chukua 0.0000963 × N x APE.
Kwa kutumia mshahara wa 2,116,000 na idadi ya miaka 32 (miezi 384) aliyotoa mleta mada hesabu inakuwa hivi:
Mkupuo: (1/580) x 384 x [(2,116,000 x 12 x 3)/3] x 12.5 x 0.33= TZS 69,346,427.60.
kweli hatufanani mkuu mm naiona nyingi sana aiseeLaiti ungejua hali ya maisha ilivyo kwa sasa usingesema hivyo. Ila pia inategemea na mapato yako kwa sasa unapoyalinganisha na kiasi hicho cha pesa. Kwa wengine wataona ni pesa nyingi Sana. Lakini kwa baadhi ya wanaopata kiasi hicho hutwo ni tuela twa mboga tu, zaidi ya hapo waweza kulala njaa na familia yako ya watu watano.
mbona ni hela ndogo aiseeKwa kikokotoo kipya atapata milioni Mia na kwa mwezi atakuwa anapokea laki saba na nusu
Nope!Kwa kikokotoo kipya atapata milioni Mia na kwa mwezi atakuwa anapokea laki saba na nusu
Mbona unaenda mazinaKwa kikokotoo kipya atapata milioni Mia na kwa mwezi atakuwa anapokea laki saba na nusu
Anabaki kama na 1.2 hivi sijui hapo kwenye bima na CWF wanakataje, ila si haba japokuwa mishahara ya serikali Kwa baadhi ya watu ni pasua kichwa na ukute huo mshahara ni wa staffs aliefanya kazi zaidi ya miaka 20Ukitoa Makato
Bima
Cwt
Kodi
Undercover [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo unazipokea mkuu au mimi
Lectures au yupi huyo??Walimu wanastaafu wanapiga 3.5m huwa unadhani wanapokea laki 5
huko nazani tyra A. walimu wakumbukwe aiseMshahara huu ni mwl aliyekaa kazini miaka zaidi ya 20yrs!
Kuna kijana anaanza Kaz analipwa 2.8m serkalini.. poleni walimu
Huyo ukute alianza na mshahara 45,000 au 50,000 mkuu, anakuwa anapanda mpaka kafikia hapoMiaka yote zaidi ya 30 alikuwa analipwa mshahara huohuo?