Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Mshahara wa 2,116,000 kwa Kikokotoo kipya atalipwa shilingi ngapi akistaafu?

Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Nimejaribu kuweka APE 1,020,000, N= 240 imenipa 440,000 (something like that). Nimekosea wapi?
 
1. Mkupuo= 0.007112 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 21,834,409/=

2. Pension kwa mwezi= 0.0000963 x 240 x 1,066,000 x 12 = TZS 295,649/=
Yawezekana! Maana mm nimekadiria kwa mujibu wa Afisa wa Kikokotoo alivyokuwa akifafanua kwenye ITV na alitolea mfano wa mfanyqkazi anayelipwa 2,000,000/= alibainisha atalipwa 400,000/=
 
Yawezekana! Maana mm nimekadiria kwa mujibu wa Afisa wa Kikokotoo alivyokuwa akifafanua kwenye ITV na alitolea mfano wa mfanyqkazi anayelipwa 2,000,000/= alibainisha atalipwa 400,000/=
Hesabu niliyotoa kwa mujibu wa kikokotoo iko sahihi kabisa.
 
Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Mkuu hivi mstaafu akipitisha na kuishi zaidi ya hiyo miaka 12.5 nini kinatokea kuhusu mafao yake ya mwezi na stahiki nyingine?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Zamani kabla ya hiki kikokotoo kipya cha asilimia 33, mnufaika wa pensheni alikuwa analipwa asilimia 25 katika malipo ya mkupuo, yaani malipo ya awamu ya kwanza, kwa kutumia kanuni ya CP = (1/580*N*APE) *12.5*25%) na malipo ya awamu ya pili akilipwa asilimia 75 kwa kutumia kanuni ya MC = (1/580 * N*APE)*75%*1/12).

Kilichobadilika ni kwamba sasa hivi mnufaika wa pensheni atakuwa analipwa kiinua mgongo, yaani malipo ya awali, asilimia 33 kutoka asilimia 25 na malipo ya kila mwezi atakuwa analipwa asilimia 67 kutoka asilimia 75.

Kwa hiyo, tunaweza kuona hapa kwamba kilichoongezeka ni malipo ya awali huku malipo ya kila mwezi yakipungua. Lakini malipo kwa ujumla yako vilevile, yaani asilimia 100 (33 + 67 = 100) kama inavyoonekana hapo juu.
 
Kikokotoa noma wanajipangia wao huu ni umaskini wa fikra kwa waajiriwa hawana sauti yoyote juu ya hivi vikokotoa wasomi ni watumwa kwa wanasiasa
 
Hii ni jumla ya mishahara ya miaka 3 ya mwisho unagawa kwa 3 unapata wastani wa mshahara bora wa mwaka, kama nimekuelewa.

Kwa hiyo ni rahisi kwa mtoa mada kukokotoa jumla ya mishahara yake ya mwisho ya miaka 3 na kugawa kwa 3 ili apate hiyo APE, na kuhusu 'N' ni idadi ya miezi aliyochangia.......kazi imebaki kwake.

Kongole kwa kusaidia na wengine, maana kila mmoja ni mstaafu mtarajiwa.​
Mishahara gross au take home?
 
Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Ingia kwenye tovuti ya PSSSF utapata jibu
 
duuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
Laiti ungejua hali ya maisha ilivyo kwa sasa usingesema hivyo. Ila pia inategemea na mapato yako kwa sasa unapoyalinganisha na kiasi hicho cha pesa. Kwa wengine wataona ni pesa nyingi Sana. Lakini kwa baadhi ya wanaopata kiasi hicho hutwo ni tuela twa mboga tu, zaidi ya hapo waweza kulala njaa na familia yako ya watu watano.
 
Back
Top Bottom