Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

Shukran Mkuu.🙏🙏🙏🙏
 
Aliyemwambia hajamuweka wazi tu, ajaribu kufatilia atapata ukweli

Tatizo usikute hakuna hata aliemwambia sema tuu anatoa majibu kulingana na wajumbe wa ubongo wake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Tatizo usikute hakuna hata aliemwambia sema tuu anatoa majibu kulingana na wajumbe wa ubongo wake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji3][emoji3][emoji3] hilo ni tatizo
 

Unakaribiana na ukweli ila kinachowatoa hao watu wana mikopo mingi sana na wana favor za kutosha.
 
Vinywaji amekupanga siku izi wanatoa Kila baada ya miezi 3
 
Ile laki 3 siyo posho ni pesa y ngome
 
Unataka kujua mishahara ya wafanyakazi wa Uhamiaji ili iweje? Je umetumwa na nani kujungulia pay roll za wafanyakazi wa Umma?
Kwanini usimtafute mhasibu wa Uhamiaji ili upate maelezo zaidi?
Basi afande usimkamate kitambulisho cha uraia anacho msamehe
 
Najua unafurah tu!!ila kimsingi Kama una ushahidi wa ubaguzi wa mishahara kwa kutegemeana na degree ya ya Nini sawa nitakubali ila kwa maneno tu hapana kuna watu wapo kweny vyombo wanatueleza utaratibu jinsi ulivyo.
Acha ligi kijana, tulia ujifunze haya unayoelekezwa na wadau.
 
Jibu swali kama hauna jibu usiandike chochote. Hili swali katika search engine ya google.
Mjukuu wako one day atatamani kufahamu mahahara wa uhamiaji..atachukua simu yake ataandika hilo swali kutoka google kisha ataelewa majibu kutoka humu.
Kwa sasa Internet is earth brain... Binadamu ameamua kutengeneza artificial intelligence yake kwa kukusanya data kutoka kwa watumiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…