Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

Sio kweli
 
Koplo 5,000,000/-
Sajenti 6000,000/-
Staff sajenti 7,000,000/-
Nyota 10,000,000
 
680,000 analipwa polisi wa cheo gani? Au dogo ni wasiojulikana?
 
Nadhani Moja ya wizara na Idara zinazolipa vizuri ukiondoa hao madaktari n.k ni MALIASILI na Utalii.

Nina mtu wangu wa karibu kabisa yupo T.F.S ana certificate tu.. Lakini anakunja TSH 700,000 kwa mwezi.. nimeshududia salary slip kwa macho yangu.. na Posho pia anazo kwa mwezi. Sasa huwa nawaza mwenye Degree huko TFS anavuta ngapi?
 
Pia usisahau TANAPA na Ngorongoro
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]koplo akilipwa na hivyo na private atalipwa ngapi,,hapa umeandika udaku tu
Koplo 5,000,000/-
Sajenti 6000,000/-
Staff sajenti 7,000,000/-
Nyota 10,000,000
 
Na TFS ndio watu wanaolipwa low kuliko wenzao wote katika wizara hii.
 
Wakuu kazi za polisi wa uhamiaji ni zipi? Au majukumu ya idara ya uhamiaji ni yapi?
 
Wakuu kazi za polisi wa uhamiaji ni zipi? Au majukumu ya idara ya uhamiaji ni yapi?
-kukamata Walinzi wa Mbowe
- kumwambia mpinzani athibitishe uraia wake pale akikosoa serikali
 
Yani toka , zile ajira za wizara ya mambo ya ndani zilizo pita, na wadau kibao wamekosa , hii imewavunja watu wengi sana moyo, na moral kuhusu, hizi za uhamiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…