Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

Lkn hapo c kuna mshahara wa nyota pia au?
 
Ni bure hawana mshahara wanajitolea tu kama ma graduates kwenye ofisi za watu wanavyofanya huko mjini sema wao hawatumwi maandazi na wanapewa posho tu
.
Ile kazi ni wito [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Oya form four plain 409000
Then brother degree ni degree
Certificate ni certificate
Diploma ni diploma hazibaguliwi
Kama ni hivyo pia kuna form four za science ,arts na biashara nazo hapo tutaziweka vip
Kwahio we unajua degree ya ualimu unalipwa sawa na daktarii? Hiih😅😅
Digrii ya ualimu ni sawa na diploma ya afya
Alafu MD hata mfamasia (degree) wanapishana laki 2
 
Hello mkuu!
Ningependa kufahamu kama viwango vya mshahara bado ni hivyo!
Kama kuna mdau anafahamu pia itakua vyema.
 
Kwahio we unajua degree ya ualimu unalipwa sawa na daktarii? Hiih[emoji28][emoji28]
Digrii ya ualimu ni sawa na diploma ya afya
Alafu MD hata mfamasia (degree) wanapishana laki 2
Diploma hii ya afya ya 740k ndo ilingane degree ya sayansi ya 820k au sijui hesabu
 
magereza sijui waliikosea nini hii dunia. hadi wakistaafu, utawaonea huruma. ndio maana wanakuwa na roho mbaya kule gerezani. waongezewe kidogo jamani, wanatia huruma. na magwanda yao yale dah
We ulienda gerezani kufanya nn mpaka kushuhudia roho mbaya zao?
Au ndio ile kesi yako ya kubaka mbuzi?
 
Kwaio mliopo humu wote ni wababaishaji? Ila linapokuja swala la kumiliki ndinga hahahaha kila mtu anayo.
 
Hii posho ya vinywaji inatolewa kwa watumishi wote wa umma ama taasisi/idara fulani tu ndiyo hupewa?

Maana kama ni vinywaji ni kila mtumishi anahitaji hivyo vinywaji.
 
Kwamba sociology wanataka lipwa sawa na civil engineering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…